GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Screenshot_2025-06-28-17-25-48-34.jpg
 
Hivi hizi fomu zinalipiwa hela sh ngapi wanazochukua mbona ni wengi
 
Huko kwenye mashirika kuna uwajibikaji mkubwa. Ukiwa Mbunge hata usipochangia hoja kabisa unapata zile per dim, posho za makalio, mshahara mkubwa, unakuwa mwanakamati huko nako kuna posho za makalio. Unapewa pesa za jimbo. Unalipiwa dereva, unajaaziwa mafuta sijui lita ngapi kwa mwezi.
Mwisho kabisa hakuna mtu wa kumuuliza.
Kumbe bungeni kuna posho za makalio? 😂

Smart911 sa namie si nikatie nia tu.
 
Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge.

Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo.

Juni 2025
Kumbe wanakuaga makada
 

Attachments

  • IMG-20250628-WA0010.jpg
    IMG-20250628-WA0010.jpg
    50.7 KB · Views: 36
Back
Top Bottom