GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna uchaguzi pasipokuwa na mabadiliko ya kimfumo. Nje ya hapo ni ule upuuzi wa 2019, 2020 na 2024
Uchaguzi utakuwepo siku ukigombea wewe.Kwasasa endelea kukua watu wazima wafanye wanachoona nisawa.
 
Hapo waache wapigane vita wenyewe kwa wenyewe
 
Nafikiri ingewekwa ki majimbo nasi tuonekane,uratibu ufanyike
 
Ubunge niambieni nigombee wapi.. Humu JF hatuna nafasi ya viti Maalum? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…