GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sometimes mambo yaweza enda ndivyo sivyo Lakini wananchi watakuwa wajinga kumtaa mtu mwenye CV ya kadogosa
Siasa zetu ni kujua kusoma na kuandika basi. Wananchi hawa ndg zetu huko kwenye CV hawapo tena subiri usikie matusi kutoka kwa wananchi wakimporomoshea
 
Mura amelia sana leo. Vipi kwingineko huko mchakato majimboni?
 
Ni nani watia nia jimbo la Ulanga
 
Mura amelia sana leo. Vipi kwingineko huko mchakato majimboni?
Wakurya huku wanaonekana vidume lakini mwakilishi wao ametuonyesha kwamba hamna kitu.
Mtu mzima kulia mbele za watu ni hatari sana. Unaweza ukadhaniwa jina lako la kati ni delicious.
 
Balozi Liberata Mulamula ni wakati wa kuona aibu uwaachie damu changa viti maalumu. Huoni aibu ubebwe kama mzoga? Gombea jimbo au kaa nyumbani ulee wajukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…