Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Mrema alishakufa. Tulimzika maeneo ya hoteli yake ya NgurdotoHivi wanywaji wenzangu uso wa mrema vipi?,
ni uzee au?
Aiseeee
Majibu hayo ni kwa hisani ya GuinessMrema alishakufa. Tulimzika maeneo ya hoteli yake ya Ngurdoto
Hizi Serengeti Lite hata hazileweshi
Hizo unaweza ukanywa kreti zima na asubuhi unaamka upo poa kabisa.........hapo tu ndo ninapozipendeaHizi Serengeti Lite hata hazileweshi