Uzi maalum wa wanywaji pombe

Karibu sana best,ila angalia usije ukasahau njia ya kurudia kwako ulale njiani fofofo! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Maeneo ya huko kwako kuna nyumba tulikuwa tunaishi enzi za utoto kwahiyo mambo yakiwa magumu nitaswitch kwenda utoto nitavamia chumba chetu tulichokuwa tunalala enzi za mwalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante Mh: Magu wallahi umetufanya tunazipa ubora bia ambazo hatujawahi hata kuulizia bei
 
Maeneo ya huko kwako kuna nyumba tulikuwa tunaishi enzi za utoto kwahiyo mambo yakiwa magumu nitaswitch kwenda utoto nitavamia chumba chetu tulichokuwa tunalala enzi za mwalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi, huku mtaani kwetu sio sawa na huko alikoenda jamaa......... Bora ulale kaunta kukicha utaikumbuka njia.
 
Yaan Jana nilikunywa Serengeti light kama sita hivi but no network connected..! Ikabidi ni boost na kasichana kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi huwa wananiacha hoi wale wanaokunywa konyagi na kuwakuta wamelala njiani kiuno juu kichwa chini[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] nahisi hua na lao jambo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…