Serengeti light ni kwa ajili ya wanaojifunza pombe mkuu.Yaan Jana nilikunywa Serengeti light kama sita hivi but no network connected..! Ikabidi ni boost na kasichana kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
binafsi km mtoto wa kike ambae najinunuliaga pombe, nimeshagundua ina faida kubwa kwenye productivity yako ya kila tu pale tu utakapojua ni aina gani ya pombe inafaa lifestyle yako. mfano: km ww ni mkurugenzi au kiongoz lkn mlevi bac k-vant inakufaa. ..km n mpiga debe au dalali kilevi chako n konyagi, km unapenda kufanya kazi huku uko high bac valuer inakufaa, km n mla bata kama bosslady hapa basi ni mwendo wa dompo tu
Wataalamu vipi wine kama St Anna ni nzuri kwa kuleta msisimko wa mapenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahah uzi unachekesha huu walevi ni walevi tuUnambaka tu,
Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yetu,muokoke wote mnaokunywa maana yeye ni Maji ya uzima atakaye kunywa atakuwa mzima!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukija Arusha nenda Picnic au Matakao baa utakutana na hayo mambo wahudumu wenye mizigo yaoBar nzuri iwe na misosi nyama choma vinywaji kibao bila kusahau wale viumbe wetu hasa wakiwa na mitako mikuuubwaaa sura hata iwe mbovu ila mzigo uwepo
Ukija Arusha nenda Picnic au Matakao baa utakutana na hayo mambo wahudumu wenye mizigo yao
Interview wanafanyiwaga na shekhe kipoozeo kama utakua unamjua.Picnic is number one in business, chakula kizuri, wahudumu wana vyura na sura nzuri.
Huwa ninawaza nani anawafanyia interview wale viumbe?
Bar ya hivi siondoki akiyanani..nasinzia naamka, lete ingineKazi na dahawa
-Ndumilakuwili-
Hahahahaha nilijua wanaopafaham mtasifia, pale sio pa kwenda na mpenzi/mume/sijui mchumba walahi utaibiwa maana wale wahudumu ni nouma aiseeee sitakagi kwenda na mwanamme kabisaaaaa maana waweza jikuta umezira kunywa bia burePicnic is number one in business, chakula kizuri, wahudumu wana vyura na sura nzuri.
Huwa ninawaza nani anawafanyia interview wale viumbe?
Agiza jibapaHahahahaha uzi wa walevi??
Au nimetumia lugha kali wakuu??
Teheheheeh ungetafuta tena tax dreva umwambie nipeleke kwenye ile baa ina wahudumu wazuri, siku nyingine nenda matako baa ila wale sio wazuri wa sura sanaaa ila huko nyumaaaaa mmmmhMara ya kwanza kwenda pale ilikuwa 2013 Sept, nilikuwa Arusha kikazi bila hata mwenyeji. Nikaongea na dreva taxi nikamwambia nipeleke mahali nitakapoangalia mpira (ilikuwa Jumanne UEFA) huku nakula nyama na kinywaji.
Straight akanipeleka pale, dah nilishangaa sana wale wahudumu, kama vile wote wametoka kwa Kagame, full vyura. Halafu wako so fair kwenye bei.
Issue ikawa siku nyingine nimeenda Arusha napatafuta pale maana hata jina nilikuwa sijalikariri.
Teheheheeh ungetafuta tena tax dreva umwambie nipeleke kwenye ile baa ina wahudumu wazuri, siku nyingine nenda matako baa ila wale sio wazuri wa sura sanaaa ila huko nyumaaaaa mmmmh
Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaNilifanya interview kwenye kampuni mmoja ya mazingira wakaniuliza una maoni gani kuhusu kufungiwa viloba hapa nchini, Jibu nilowapa Kama wataniita tena kwa ajili ya kazi nitawajulisha.
Haya mkuu sema kiukweli Picnic wana huduma nzuri sana sio siriMimi huwa siyo mteja sana wa wale watu, ila ile atmosphere tu inavutia kukaa pale, maana screen ni za kutosha, misosi mizuri na hata wahudumu hawapandishi bili.