Uzi maalum wa wanywaji pombe

Huu udumu huu uzi wetu huu.tumechoka kusemwa katika threads nyingine!ahahah
 
Haya mkuu sema kiukweli Picnic wana huduma nzuri sana sio siri

Sure, hata wale wahudumu wenyewe kuwa - approach inabidi uwe kauzu, maana wanaonekana wako serious.

Halafu hawana za kushobokea wateja.
 
Sure, hata wale wahudumu wenyewe kuwa - approach inabidi uwe kauzu, maana wanaonekana wako serious.

Halafu hawana za kushobokea wateja.
Tatizo lao wengi ni kama mashuga mami flan hivi yameenda hewani, wamejaza afu unakuta kavaa kimini hicho yaan hata akidondosha opener hawezi okota mpaka aombe msaada kwa Mteja. Mi napendaga MRINA ANNEX, Huduma ukienda toilet tu unasubiriwa pembeni, utasikia mambo kaka tukato....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu zile mashine ni heavy weights, acha kabisa.

Hiyo Mrina sijawahi kufika, nitapatafuta this time nikienda Chuga.
 
Duuuh iko wapi mkuu hiyo sehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/7dbd6626d4cf12a03ef2882fe1d4eb2e.jpg[/color=red]Pombe sio chai [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]

Sent using [URL=http://r.tapatalk.com/byo?rid=77694]Jamii Forums mobile app[/URL]

 
Bar nzuri iwe na misosi nyama choma vinywaji kibao bila kusahau wale viumbe wetu hasa wakiwa na mitako mikuuubwaaa sura hata iwe mbovu ila mzigo uwepo


Mnawapendeaga nini Wanawake wenye Matako makubwa???
Mimi siwezi kupenda Mavvi ya mtu
 
sweet wine mamy,smirnof blak ice! safi kbs.. mie napenda vinywaj vitamu only.. soda nimeacha ! zinanenepesha sana lol
Kule kwetu kuna maneno matatu wanapenda kuyatumia 1.walwa 2.nyama 3. hili la tatu nimelisahau kidogo!!! ntarudi nikikumbuka
 
Teheheheeh ungetafuta tena tax dreva umwambie nipeleke kwenye ile baa ina wahudumu wazuri, siku nyingine nenda matako baa ila wale sio wazuri wa sura sanaaa ila huko nyumaaaaa mmmmh

Mmmmhhh!! Unapajua picnic wewe? Sijawahi fika ila kuna jamaa zangu huwa wanaacha hela pale!!
 
Jews Tottenham tukiwatipiamo kingine leo tungi litanoga sana ![emoji460]
 
Mmmmhhh!! Unapajua picnic wewe? Sijawahi fika ila kuna jamaa zangu huwa wanaacha hela pale!!
Kuna mtu wa Arusha asopajua pale,kuna wahudumu wazuri balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…