robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
Chamsingi walev wenzang tusibebe sim nshapotezaga huawei p5 yangu kisa kuzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee usiruhusu hali ya kuzima sio busara kwa mtoto wa kiume, ukiona umezidisha kipimo unaelekea pabaya dawa ni kuwahi nyumbani.Chamsingi walev wenzang tusibebe sim nshapotezaga huawei p5 yangu kisa kuzima
Haya mkuu sema kiukweli Picnic wana huduma nzuri sana sio siri
Tatizo lao wengi ni kama mashuga mami flan hivi yameenda hewani, wamejaza afu unakuta kavaa kimini hicho yaan hata akidondosha opener hawezi okota mpaka aombe msaada kwa Mteja. Mi napendaga MRINA ANNEX, Huduma ukienda toilet tu unasubiriwa pembeni, utasikia mambo kaka tukato....!Sure, hata wale wahudumu wenyewe kuwa - approach inabidi uwe kauzu, maana wanaonekana wako serious.
Halafu hawana za kushobokea wateja.
Tatizo lao wengi ni kama mashuga mami flan hivi yameenda hewani, wamejaza afu unakuta kavaa kimini hicho yaan hata akidondosha opener hawezi okota mpaka aombe msaada kwa Mteja. Mi napendaga MRINA ANNEX, Huduma ukienda toilet tu unasubiriwa pembeni, utasikia mambo kaka tukato....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh iko wapi mkuu hiyo sehemuTatizo lao wengi ni kama mashuga mami flan hivi yameenda hewani, wamejaza afu unakuta kavaa kimini hicho yaan hata akidondosha opener hawezi okota mpaka aombe msaada kwa Mteja. Mi napendaga MRINA ANNEX, Huduma ukienda toilet tu unasubiriwa pembeni, utasikia mambo kaka tukato....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bar nzuri iwe na misosi nyama choma vinywaji kibao bila kusahau wale viumbe wetu hasa wakiwa na mitako mikuuubwaaa sura hata iwe mbovu ila mzigo uwepo
Kule kwetu kuna maneno matatu wanapenda kuyatumia 1.walwa 2.nyama 3. hili la tatu nimelisahau kidogo!!! ntarudi nikikumbukasweet wine mamy,smirnof blak ice! safi kbs.. mie napenda vinywaj vitamu only.. soda nimeacha ! zinanenepesha sana lol
Kule kwetu kuna maneno matatu wanapenda kuyatumia 1.walwa 2.nyama 3. hili la tatu nimelisahau kidogo!!! ntarudi nikikumbuka
Yaya natalebhilwe nkoi!!!teh teh!walebhwaga
Teheheheeh ungetafuta tena tax dreva umwambie nipeleke kwenye ile baa ina wahudumu wazuri, siku nyingine nenda matako baa ila wale sio wazuri wa sura sanaaa ila huko nyumaaaaa mmmmh
Kweli kabisa mkuuBora kunywa BIA moja kila siku kuliko SODA moja kila siku NB. Ni bora kiafya sio kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu wa Arusha asopajua pale,kuna wahudumu wazuri balaaaMmmmhhh!! Unapajua picnic wewe? Sijawahi fika ila kuna jamaa zangu huwa wanaacha hela pale!!