Uzi maalum wa wanywaji pombe

Hivi Zanzibar kuna pombe za kienyeji? Kama vile mataputapu kwa upande wa Bara...
 
Hizi Serengeti Lite hata hazileweshi
Take on empty stomach mkuu 3-4 bottles ndio ule huku unapiga taratibu kumaintain effect usiende bar na kuanza kuagiza nyama au mchemsho supu whatever kabla hujanyewa utapata hasara but offer 1merit they are cheaper at 1.5k tsh
 
Nawaona tu mnavyotamba,ngoja na mie nianzishe uzi wa watumiaji wa sigara kubwa ili twende sawa
 
Nawaona tu mnavyotamba,ngoja na mie nianzie uzi wa watumiaji wa sigara kubwa ili twende sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Best umefata nini huku chumbani kwetu wakati wewe si mwenzetu?
 
Nipo nakunywa apa uku nasubir game ya barca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…