PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Kazi na dahawa
-Ndumilakuwili-
-Ndumilakuwili-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani anaongelea...Augustine Lyatonga Mrema....waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu waziri Mkuu, wa Serikali ya awmu ya pili.....Kwasasa ni M/K wa Bodi ya ParoleMrema alishakufa. Tulimzika maeneo ya hoteli yake ya Ngurdoto
Take on empty stomach mkuu 3-4 bottles ndio ule huku unapiga taratibu kumaintain effect usiende bar na kuanza kuagiza nyama au mchemsho supu whatever kabla hujanyewa utapata hasara but offer 1merit they are cheaper at 1.5k tshHizi Serengeti Lite hata hazileweshi
Nilikuwa nataka nikuite,mzee wa jibapaHahahahaha uzi wa walevi??
Au nimetumia lugha kali wakuu??
Kwani bia unakunywa ili iweje?Kwan unakunywa biaaaa ili ulewe
Nilikuwa nakusubiri tu humu.Nilikuwa nataka nikuite,mzee wa jibapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Best umefata nini huku chumbani kwetu wakati wewe si mwenzetu?Nawaona tu mnavyotamba,ngoja na mie nianzie uzi wa watumiaji wa sigara kubwa ili twende sawa
Kabisa,maana kitakachofata ni kifoUkiona umefikia hiyo hatua, ni bora ukaacha pombe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe raha ya pombe nini zaidi ya kulewa?Kwan unakunywa biaaaa ili ulewe
Raha ya pombe kulewa!Kwani bia unakunywa ili iweje?