Uzi maalum wa wanywaji pombe

Kuna jamaa alikutwa amelala chumbani kwa watu Oyterbay, jamaa anakoroma, watoto ilibidi wawaambie wazazi wao, wazazi wamekuja waliamua kuhamisha watoto wakamuwacha jamaa alale tena yuko na boxer kama kwake.

Asubuhi wanamuuliza umefikaje hapa, kumbe jamaa aliishi nyumba ile akiwa mtoto na alizaliwa hapo enzi za Nyerere. Alikwenda kwenye party maeneo baada ya pombe kukolea na kuona ile nyumba akili za utotoni zilirudi kuwa pale ni home.
 
basi mie zote hio zilinishinda jaman!naona zinanijaza tumbo kweli nikinywa 1 tumbo full!siwe kbs bia.. mie nikikosa kinywaj changu tleast heinken naijaribu! ila chungu nayo...
Kwahiyo kinywaji chako ni nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…