Amen......[emoji120]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Amen......[emoji120]
Potelea mbali,stimu ya ile kitu ni mujarrab[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wataenda kukupima mkojo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo mie simo. Mkuu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]Potelea mbali,stimu ya ile kitu ni mujarrab
Huyo jamaa uliemrudishia chenji alikuacha kweli?Hii mitungi acha tu.....miaka ile niko o-level shule moja bweni huko kaskazini...kipindi kile tulikuwa tunatumiwa hela (poketmoney) kwa njia ya posta au mabasi mana hakukuwa na m-pesa, basi bwana siku nikatumiwa hela, asubuhi tu nikaomba getpass nikavaa ki-uanafunzi (full uniform,shat,tai sweta, suruali, viatu vyeusi) basi nikaingia town kuchukua hela zangu(Hood office) mana nilitumiwa kwenye basi la Hood. Ile nimechukua hela nazunguka town nikakutana na school mate (mhehe) alikuwa anapenda sana ''tungi'' basi tukashauriana ,tukaingia chimbo moja hivi (wote tumevaa uniform),tukanunua konyagi kubwa tukachanganya na pombe flani ya kienyeji tukaanza kunywa,tukaongeza konyagi zingine mbili, bwana wee tulitoka pale tuko bwii,tukaelekea stendi kupanda gari twende shule..tukapanda gari vizuri tu..nakumbuka kuna jamaa nilimtapikia alikuwa amekaa siti ya mbele yangu, network ilikata..sikumbuki nini kilitokea baada ya hapo...kuja kuamka kesho yake asubuhi kichwa kinauma balaa alafu mfukoni nimebaki na 2,600 na hela nilitumiwa 35,000 ,sikumbuki hela zingine zilienda wapi..POMBE SIO CHAI
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe ulitaka amfanye nini mkuu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Huyo jamaa uliemrudishia chenji alikuacha kweli?
Aah sina maana hiyo [emoji4][emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe ulitaka amfanye nini mkuu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu chenye lite ebu angalia alcohol % Kama siyo tatu Mimi nikiwa huko naanza chezea kitu kinasoma 8% kuendelea hapo ndipo utagundua kuwa in alcohol there's true.Hizi Serengeti Lite hata hazileweshi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama d wewe unagubia ipi
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23] yamenifika sana mamy tena mazito aisee sijawahigi kunywa chochote namshkuru Munguhahha omba tu yasikufike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio hivyo mwaya, mie nikiona counter huwa nachanganyikiwa kabisa uwiii hivi vitu ni hatari sana aiseeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha bas nna rafiki angu amevurugwa zaid jaman uwiii hahahahah! yule kiboko! akikua swala 5 anazikung'uta jaman nyagii alafu ukimuiona humzanii! mzuriii hahahahah! anaenda counter anaangalia yenye alcohol kubwa anaagiza! last yr nilizinywa sana wine aisee! mwaka huu ni km nimeacha! ila natafuta siku ... maana khaa!
demi njoo huku
Ameen dear namshkuru sana Mungu Ney yamenifika sana tena mazito sanaa lakini mpaka kufikia pale sijafanya hayo Mungu ni mwemaMuombe Mungu shunie
Nakuona pia kiongozi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Asprin nakuona nakuona nakuona nakuona mkuu [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ujiandae hiyo siku tukatambae..hahaha bas nna rafiki angu amevurugwa zaid jaman uwiii hahahahah! yule kiboko! akikua swala 5 anazikung'uta jaman nyagii alafu ukimuiona humzanii! mzuriii hahahahah! anaenda counter anaangalia yenye alcohol kubwa anaagiza! last yr nilizinywa sana wine aisee! mwaka huu ni km nimeacha! ila natafuta siku ... maana khaa!
demi njoo huku
Yah
Tena ikifanya kolabo na Nyagi...
Aaah SanaRaha ya pombe kulewa!
Sijui yani hta kama kulikuwa na ugomvi...ila asubuhi yake nilikuta pei imeisha nimebaki elf mbili mia sita labda jamaa alinisachi...Huyo jamaa uliemrudishia chenji alikuacha kweli?