Uzi maalum wa wanywaji pombe

Uzi maalum wa wanywaji pombe

Hii mitungi acha tu.....miaka ile niko o-level shule moja bweni huko kaskazini...kipindi kile tulikuwa tunatumiwa hela (poketmoney) kwa njia ya posta au mabasi mana hakukuwa na m-pesa, basi bwana siku nikatumiwa hela, asubuhi tu nikaomba getpass nikavaa ki-uanafunzi (full uniform,shat,tai sweta, suruali, viatu vyeusi) basi nikaingia town kuchukua hela zangu(Hood office) mana nilitumiwa kwenye basi la Hood. Ile nimechukua hela nazunguka town nikakutana na school mate (mhehe) alikuwa anapenda sana ''tungi'' basi tukashauriana ,tukaingia chimbo moja hivi (wote tumevaa uniform),tukanunua konyagi kubwa tukachanganya na pombe flani ya kienyeji tukaanza kunywa,tukaongeza konyagi zingine mbili, bwana wee tulitoka pale tuko bwii,tukaelekea stendi kupanda gari twende shule..tukapanda gari vizuri tu..nakumbuka kuna jamaa nilimtapikia alikuwa amekaa siti ya mbele yangu, network ilikata..sikumbuki nini kilitokea baada ya hapo...kuja kuamka kesho yake asubuhi kichwa kinauma balaa alafu mfukoni nimebaki na 2,600 na hela nilitumiwa 35,000 ,sikumbuki hela zingine zilienda wapi..POMBE SIO CHAI
Huyo jamaa uliemrudishia chenji alikuacha kweli?
 
Hizi Serengeti Lite hata hazileweshi
Kitu chenye lite ebu angalia alcohol % Kama siyo tatu Mimi nikiwa huko naanza chezea kitu kinasoma 8% kuendelea hapo ndipo utagundua kuwa in alcohol there's true.
 
hahaha bas nna rafiki angu amevurugwa zaid jaman uwiii hahahahah! yule kiboko! akikua swala 5 anazikung'uta jaman nyagii alafu ukimuiona humzanii! mzuriii hahahahah! anaenda counter anaangalia yenye alcohol kubwa anaagiza! last yr nilizinywa sana wine aisee! mwaka huu ni km nimeacha! ila natafuta siku ... maana khaa!

demi njoo huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha bas nna rafiki angu amevurugwa zaid jaman uwiii hahahahah! yule kiboko! akikua swala 5 anazikung'uta jaman nyagii alafu ukimuiona humzanii! mzuriii hahahahah! anaenda counter anaangalia yenye alcohol kubwa anaagiza! last yr nilizinywa sana wine aisee! mwaka huu ni km nimeacha! ila natafuta siku ... maana khaa!

demi njoo huku
Ndo ujiandae hiyo siku tukatambae..
Jamani mie sijawahi lewa nisijitambue, pombe zikinizidi naumwa naishia kutapika.
 
Huyo jamaa uliemrudishia chenji alikuacha kweli?
Sijui yani hta kama kulikuwa na ugomvi...ila asubuhi yake nilikuta pei imeisha nimebaki elf mbili mia sita labda jamaa alinisachi...
 
Back
Top Bottom