Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Hivi mtu unaweza kunywa pombe, na kusahau njia ya ya kurudi kwenu. Au uanguke njiani na kupoteza mwelekeo. Unafikia mpaka kulala fofofoo njiani, hii inawezekana kweli au makusudi. Wana lao jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app