Uzi maalum wa wanywaji pombe

Uzi maalum wa wanywaji pombe

hahaha bas nna rafiki angu amevurugwa zaid jaman uwiii hahahahah! yule kiboko! akikua swala 5 anazikung'uta jaman nyagii alafu ukimuiona humzanii! mzuriii hahahahah! anaenda counter anaangalia yenye alcohol kubwa anaagiza! last yr nilizinywa sana wine aisee! mwaka huu ni km nimeacha! ila natafuta siku ... maana khaa!

demi njoo huku
Ndio hivyo mwaya, mie nikiona counter huwa nachanganyikiwa kabisa uwiii hivi vitu ni hatari sana aiseeh
 
Ndio hivyo mwaya, mie nikiona counter huwa nachanganyikiwa kabisa uwiii hivi vitu ni hatari sana aiseeh

hhaha Ney unanivunja mbavu mwenzako! hahaha nimemis hatar full kubanwa! kiu mnoo niliyonayo!nililanduka valentine hahahaha dah! tuliianzia asbh! asalaaaale
 
hhaha Ney unanivunja mbavu mwenzako! hahaha nimemis hatar full kubanwa! kiu mnoo niliyonayo!nililanduka valentine hahahaha dah! tuliianzia asbh! asalaaaale
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tukubali matokeo hakuna namna
 
Hii sub ya benzema anaingia Ronald

Kwa furaha tunaongezea jibapa lingine

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Naomba nisichangie kwenye threads zenye matendo yasiyo mpendeza Mungu...[emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tufurahi tuu wajina hakuna namna. Ukivurugwa sana inafikia hatua hutumii tena bia uliyoizoea unajikuta unamwambia muhudumu nipatie yoyote yenye alcohol kubwa zaidi [emoji28][emoji28]
Ulewe ukalale pakuche maisha yaendelee [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....Miaka kadhaa iliyopita kuna jamaa mmoja alikuja from DSM kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kura za maoni wilayani Kilwa kupitia chama chama kimoja kikongwe. Baada ya mchuano mkali jamaa kura zikawa hazikutosha, akaamua kwenda kupata monde apunguze machungu; hivyo akapiga konyagi za kutosha (inasemekana ndiyo kinywaji chake).

Jamaa alikuwa amefikia Guest moja maarufu tu pale Kilwa Masoko (MJAKA GUEST HOUSE), sasa baada ya kupiga bapa za kutosha akaingia kwenye gari lake kurudi guest, aisee badala ya kukunja kuingia guest (iko pembeni ya barabara) jamaa akanyoosha moja kwa moja akaingia bandarini (kulikuwa hakuna geti enzi hizo, kuna kamba tuu) moja kwa moja mpaka kwenye deck ya meli akatumbukia baharini, na mauti yakamkuta hapo hapo.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji115]Duuh mungu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mitungi acha tu.....miaka ile niko o-level shule moja bweni huko kaskazini...kipindi kile tulikuwa tunatumiwa hela (poketmoney) kwa njia ya posta au mabasi mana hakukuwa na m-pesa, basi bwana siku nikatumiwa hela, asubuhi tu nikaomba getpass nikavaa ki-uanafunzi (full uniform,shat,tai sweta, suruali, viatu vyeusi) basi nikaingia town kuchukua hela zangu(Hood office) mana nilitumiwa kwenye basi la Hood. Ile nimechukua hela nazunguka town nikakutana na school mate (mhehe) alikuwa anapenda sana ''tungi'' basi tukashauriana ,tukaingia chimbo moja hivi (wote tumevaa uniform),tukanunua konyagi kubwa tukachanganya na pombe flani ya kienyeji tukaanza kunywa,tukaongeza konyagi zingine mbili, bwana wee tulitoka pale tuko bwii,tukaelekea stendi kupanda gari twende shule..tukapanda gari vizuri tu..nakumbuka kuna jamaa nilimtapikia alikuwa amekaa siti ya mbele yangu, network ilikata..sikumbuki nini kilitokea baada ya hapo...kuja kuamka kesho yake asubuhi kichwa kinauma balaa alafu mfukoni nimebaki na 2,600 na hela nilitumiwa 35,000 ,sikumbuki hela zingine zilienda wapi..POMBE SIO CHAI
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulidhani chai nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom