Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Leo nimekaa nimewaza sana kuna games watoto wetu wanacheza siku hizi ila nyingi zina hatari sana. Games nyingi siku hizi wanacheza online na zinawakutanisha na watu wasio wajua kabisa. Hii ni hatari sana
Lakini pia siku hizi haya hizi games na cartoons zimekuwa na maudhuni ya ajabu mengi yakilenga masuala ya LGBTQ pamoja na maudhui mengi sana yasiyofaa kwa Watoto kwa umri wao.
Mfano nasikia kuna hii game inaitwa Roblox ambalo pamoja na utamu wake ni game la rika zote na watoto huku wanachati sana na watu wasiowajua (third party) kitu ambacho mtoto anakuwa kwenye hatari sana.
Najua ni vema kuongea na watoto na kuwaelimisha kwa masuala anuai yanayotokea kwenye jamii kwa sasa lakini Wazazi kwa namna moja au nyingine hatuji hizi games na cartoons wanazoangalia Watoto wetu.
Wazazi njoo hapa tujaribu kuelezeana games na cartoons ambazo ni hatari kwa watoto wetu na hatari zake ili tuweze kusaidia na kuwajenga Watoto