Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
mimi napenda kuwawekea channel ya fix and fox kuna moja inaitwa eena meena and deeka hata mm lazima nikae tuangalie in case kifurush kimekata wanapambana na hao akili kila jumamos na jpili asbh kuanzia saa tatu tunaenda chanel ten wanaangalia katuni ya baraka na kijiti cha matumaini nikiona wamezoea hawana cha kufanha wapo idle nawawekea their favourite animation movie inaitwa moanna hii tunaangalia hata mara elf moja hawaichoki mwenyewe hua nashindwa kuifuta so nimewaongezea na tom and jerry into a snowlandman, the bad guy na klaus yan hapo situmi mtu hata maji ya kunywa.