Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Kweli bwan,,ni.lile twiga mdomo unavocheza sasašni anko t
hisabati ni nini
hisabati ni mikakati
kila siku na kila wakati
Aloooh io eena meena.......naipenda na ile ya yule mbwa alotupwa akajikuta yupo ufukwe wa yule mchawi huanza saa kumi jionimimi napenda kuwawekea channel ya fix and fox kuna moja inaitwa eena meena and deeka hata mm lazima nikae tuangalie in case kifurush kimekata wanapambana na hao akili kila jumamos na jpili asbh kuanzia saa tatu tunaenda chanel ten wanaangalia katuni ya baraka na kijiti cha matumaini nikiona wamezoea hawana cha kufanha wapo idle nawawekea their favourite animation movie inaitwa moanna hii tunaangalia hata mara elf moja hawaichoki mwenyewe hua nashindwa kuifuta so nimewaongezea na tom and jerry into a snowlandman, the bad guy na klaus yan hapo situmi mtu hata maji ya kunywa.
hakuna utofauti, ni ujinga, ulimbukeni na shobo za wazazi wapumbavu wanaodhani mapenzi bora kwa watoto ni kumpa kila anachotaka,...Shida kwa sasa mambo yamebadilika sana, malezi ya mtoto aliyezaliwa miaka ya ā90 na mtoto aliyezaliwa miaka hii ya 2000 ni tofauti mno
anaitwa bob na inaimbwa bob bob bob bob is on the beach kawimbo katamu sana kuna moja pia inaitwa marvelous mary and the magic cat yan honestly wanatulia mnooAloooh io eena meena.......naipenda na ile ya yule mbwa alotupwa akajikuta yupo ufukwe wa yule mchawi huanza saa kumi jioni
hahaha unapotembea unahesabu kilometa, hujui kilometa watakucheka, unapotembea unahesabu hatua unapokula ugali unahesabu matonge sasa hebu hesabu haya madoa yangu yapo mangapi, hisabati hisabati ehhhh ae ae aeKweli bwan,,ni.lile twiga mdomo unavocheza sasaš
Hahahaha ššššššhahaha unapotembea unahesabu kilometa, hujui kilometa watakucheka, unapotembea unahesabu hatua unapokula ugali unahesabu matonge sasa hebu hesabu haya madoa yangu yapo mangapi, hisabati hisabati ehhhh ae ae ae
Yaani mule mule,na ile ya Gloria na Oscar the balloonistanaitwa bob na inaimbwa bob bob bob bob is on the beach kawimbo katamu sana kuna moja pia inaitwa marvelous mary and the magic cat yan honestly wanatulia mnoo
oscar na rafiki yake cactus hahahha halaf i can tell ulikua mpenzi wa cartoons eeh? mimi enzi hizo kina ben ten channel ten nilikua sitok cartoon kama ile junior na spinach yake jaman sasa kuna moja sasa hivi hua hawaiweki sana yulesis wanakua baharini mara wanapotea wanakumbana na visaYaani mule mule,na ile ya Gloria na Oscar the balloonist
Mi hadi saiv aseeeee,,kuna hii ya shark analinda ka samaki mtu jna limentoka𤣠ukitaka nitulie hata sasa niletee katuni,io spinach si ndo ile akila anakua na nguvu balaaoscar na rafiki yake cactus hahahha halaf i can tell ulikua mpenzi wa cartoons eeh? mimi enzi hizo kina ben ten channel ten nilikua sitok cartoon kama ile junior na spinach yake jaman sasa kuna moja sasa hivi hua hawaiweki sana yulesis wanakua baharini mara wanapotea wanakumbana na visa
jahahaha ndio hiyo hiyo yaani sasa nakushauri itafute moana angalia na watoto utanipa mrejesho imefikia hatua tunaimba nyimbo zote zilizoimbwa kwenye hii movieMi hadi saiv aseeeee,,kuna hii ya shark analinda ka samaki mtu jna limentoka𤣠ukitaka nitulie hata sasa niletee katuni,io spinach si ndo ile akila anakua na nguvu balaa
Moana hii hii au ipo nyingine, hahahaha nasubiri tu mwendelezo wa hotel Transylvania aseeee iliishia patamu ile ya 4š¤£ila moana sjabahatika kuiona vizurjahahaha ndio hiyo hiyo yaani sasa nakushauri itafute moana angalia na watoto utanipa mrejesho imefikia hatua tunaimba nyimbo zote zilizoimbwa kwenye hii movie
hahaha welcome to the hotel transylvania hivi ile ya vacation n ya ngapi? mana ndio ya mwisho kuiona, icheki moana nakwambia ni nzuri sana tunasubiri part two yakeMoana hii hii au ipo nyingine, hahahaha nasubiri tu mwendelezo wa hotel Transylvania aseeee iliishia patamu ile ya 4š¤£ila moana sjabahatika kuiona vizur
Ya pili ile kam sikosei,,moana hua naikosa ingawa naitafuta sana niliwah kuona mara moja tuuuhahaha welcome to the hotel transylvania hivi ile ya vacation n ya ngapi? mana ndio ya mwisho kuiona, icheki moana nakwambia ni nzuri sana tunasubiri part two yake
Sawa boss,nakubaliTafuta game inaitwa gcompris, ni game ya wizara ya elimu sayansi na teknolojia
Game lina challenges za masomo yote mtoto anayosoma, linafundishwa kwenye sayansi darasa la 3 mtaala mpya
download via moviebox itafute kwa plyastore kama unatumia android utaionaYa pili ile kam sikosei,,moana hua naikosa ingawa naitafuta sana niliwah kuona mara moja tuuu
Oooh asante sanadownload via moviebox itafute kwa plyastore kama unatumia android utaiona