Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
19,101
Reaction score
31,995
1000218183.jpg

🔴 CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza.

Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi Jumamosi hii, Agosti 2, 2025, yakifanyika kwa mara ya kwanza kwa ushirikiano wa nchi tatu: Tanzania, Kenya na Uganda chini ya kauli mbiu ya “PAMOJA”.
  • 🗓 Tarehe: 2 – 30 Agosti 2025 (yaliahirishwa kutoka Februari na CAF)
  • 🏟 Waandaaji: Tanzania (Dar, Zanzibar), Kenya (Nairobi), Uganda (Kampala)
  • ⚽ Mechi ya ufunguzi: Tanzania 🇹🇿 vs Burkina Faso 🇧🇫 — Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
  • 🏆 Fainali: Itachezwa Nairobi – Kasarani Stadium (30 Agosti)
1000216887.jpg

🏟 Groups & Viwanja​

KundiNchi Zilizo kwenye KundiUwanja
AKenya, Morocco, DRC, Angola, ZambiaKasarani & Nyayo, Nairobi
BTanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso, CARBenjamin Mkapa & Amaan (Zanzibar)
CUganda, Algeria, Guinea, Niger, South AfricaMandela Stadium, Kampala
DSenegal, Sudan, Nigeria, CongoAmaan Stadium, Zanzibar

Mashindano haya ni fursa adhimu kwa Afrika Mashariki – si tu kwenye uwanja, bali pia kiuchumi, kiutalii na kiutamaduni.
Je, unadhani wenyeji watafanya vizuri? Je, Tanzania ina nafasi ya kutinga nusu fainali?
View attachment 3428350

🗣 Karibu maoni yako hapa...
Nitajitahidi kutoa Updates kwa kadiri ya uwezo.

MECHI Ya Leo 30.08.2025
Final
1000264612.jpg

1000264992.jpg
 
Attachments

  • 1000264612.jpg
    1000264612.jpg
    1 MB · Views: 41
🔴 CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza.

Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi Jumamosi hii, Agosti 2, 2025, yakifanyika kwa mara ya kwanza kwa ushirikiano wa nchi tatu: Tanzania, Kenya na Uganda chini ya kauli mbiu ya “PAMOJA”.
  • 🗓 Tarehe: 2 – 30 Agosti 2025 (yaliahirishwa kutoka Februari na CAF)
  • 🏟 Waandaaji: Tanzania (Dar, Zanzibar), Kenya (Nairobi), Uganda (Kampala)
  • ⚽ Mechi ya ufunguzi: Tanzania 🇹🇿 vs Burkina Faso 🇧🇫 — Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
  • 🏆 Fainali: Itachezwa Nairobi – Kasarani Stadium (30 Agosti)

🏟 Groups & Viwanja​

KundiNchi Zilizo kwenye KundiUwanja
AKenya, Morocco, DRC, Angola, ZambiaKasarani & Nyayo, Nairobi
BTanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso, CARBenjamin Mkapa & Amaan (Zanzibar)
CUganda, Algeria, Guinea, Niger, South AfricaMandela Stadium, Kampala
DSenegal, Sudan, Nigeria, CongoAmaan Stadium, Zanzibar

Mashindano haya ni fursa adhimu kwa Afrika Mashariki – si tu kwenye uwanja, bali pia kiuchumi, kiutalii na kiutamaduni.
Je, unadhani wenyeji watafanya vizuri? Je, Tanzania ina nafasi ya kutinga nusu fainali?

🗣 Karibu maoni yako hapa...
Nitajitahidi kutoa Updates kwa kadiri ya uwezo
Cookie ikifika Tarehe 2.8.2025.
Uzi uwende Live .
Asante
Safi sana
 
🔴 CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza.

Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi Jumamosi hii, Agosti 2, 2025, yakifanyika kwa mara ya kwanza kwa ushirikiano wa nchi tatu: Tanzania, Kenya na Uganda chini ya kauli mbiu ya “PAMOJA”.
  • 🗓 Tarehe: 2 – 30 Agosti 2025 (yaliahirishwa kutoka Februari na CAF)
  • 🏟 Waandaaji: Tanzania (Dar, Zanzibar), Kenya (Nairobi), Uganda (Kampala)
  • ⚽ Mechi ya ufunguzi: Tanzania 🇹🇿 vs Burkina Faso 🇧🇫 — Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
  • 🏆 Fainali: Itachezwa Nairobi – Kasarani Stadium (30 Agosti)

🏟 Groups & Viwanja​

KundiNchi Zilizo kwenye KundiUwanja
AKenya, Morocco, DRC, Angola, ZambiaKasarani & Nyayo, Nairobi
BTanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso, CARBenjamin Mkapa & Amaan (Zanzibar)
CUganda, Algeria, Guinea, Niger, South AfricaMandela Stadium, Kampala
DSenegal, Sudan, Nigeria, CongoAmaan Stadium,
Cookie ikifika Tarehe 2.8.2025.
Uzi uwende Live .
Asante
Ondoa shaka
 
Back
Top Bottom