Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
😃Ngoja upewe ban 🏃♂️
😃Ngoja upewe ban 🏃♂️
Si umeona ametulia.
Dah!,jf kuna watu
Wewe jibu kombe linabaki wapi?Safi sana
Hapo nani anachukua kombe?Ondoa shaka
"Kwa Mkapa Hatoki Mtu"Wewe jibu kombe linabaki wapi?
Ni Ntu mkuu sema Ntu"Kwa Mkapa Hatoki Mtu"
hamchomoi game ata moja naona mkiburuza mkia kwenye kundi B
😂😂Huyo tena ndio ticha wao 😃😃😃
Kudeal na hii familia ya JF usipopiga hayo mambo hutoboi. 😃😃
endelea kujipa matumani hewa.Sio rahisi tupoteze game ya ufunguzi
Umetisha mkuuNi Ntu mkuu sema Ntu
Kwani wanashiriki wao?Nazipenda timu za Afrika mashariki hasa Tanzania ila katika hili kombe nasimama na Tunisia na Cameroon.