Oya mzabzab yule dogo nilikwambia namba 2 ya Senegal kajumuisha kikosi boraKumbe na wee umemuona yule anapiga miguu yote kushoto anatoa pass kulia anamwaga cross.
Huyu mtu ila hamzidi huyu fullback ya morocco no. 7. Balaaa huyo yaani kwanza sijui kwa nini anacheza africa
Yule mtu bwana kulia kushoto anapiga hatari. Ila huyu onyango wameleta ushikaji bwana.... Hii cetre back ya madagascar nayo mtu na nusu bwana.Oya mzabzab yule dogo nilikwambia namba 2 ya Senegal kajumuisha kikosi bora View attachment 3463412
Dogo Ba anajua sanaYule mtu bwana kulia kushoto anapiga hatari. Ila huyu onyango wameleta ushikaji bwana.... Hii cetre back ya madagascar nayo mtu na nusu bwana.
Lalaina nasikia kashakula shavu algeria mwanawane
Mwee...sie mpira mdomoni tuu lakini uwanja wa 100 x 70 tunajinyea nyea tuu. Madagascar katuaibisha kwa kweliDogo Ba anajua sana
Yeah Lalaina kala shavu Algeria
Wakenya wanauliza wapi watoto wa mama kwenye kikosi😂