Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Ah wapigaji wanapenda kuleta wachezaji wa youtube lol.
Madagascar hapo chukuwa captain wao no.4, chukua lalaina namba 8, chukua fullback right namba 21 leo hajacheza koz ya njano mbili chukuwa na auper sub no. 20 na yule mido nywele blich no. 2
Ukileta hiyo Squad hapa Bongo sipati picha šŸ¤”
 
Hawa ukuta wao noma sana backline imejaa vipaji. Yule no13 fullback ya kushoto ulaya inamuita. Centre back no. 2 na no 15 nao watu na nusu.
Kuna striker wao alikuwa anaingia sub no.25 mtu
Kuna uyo dogo alievaa namba 22 ni beki namba 2 anakimwaga miguu yote anatandika hachagui habagui anakaba anashambulia
 
Analysis zako zinapita mule mule
Wee bwana mpira wa 100 x 70 sio mechi ya sita kwa sita kwamba utajitba jf unajuanshenyenta mbususu kumbe hamna kitu. Wachezaji wanaonekana sema mawakala wanaleta self interest.
Hii chan timu yangu ni hivi

Gk: kipa wa madagascar
Right fullback: bekinwa kulia wa morocco no.7 mgongoni.
Left fullback: dogo wa senegal no 13 mgonhoni
Cebtre back: captain wa madagascar jersey no. 4
Centre back: beki wa senegal jersey no.2
Namba 6 : captain wa morocco no.27
Namba 8: lalaina no.8 wa madagascar
Namba 9: striker wa morocco no.9
Namba 10: namba 10 wa morocco
Namba 7: winger wa morrocco no. 21
N0. 11: no.20 wa madagascar
 
Kuna uyo dogo alievaa namba 22 ni beki namba 2 anakimwaga miguu yote anatandika hachagui habagui anakaba anashambulia
Kumbe na wee umemuona yule anapiga miguu yote kushoto anatoa pass kulia anamwaga cross.
Huyu mtu ila hamzidi huyu fullback ya morocco no. 7. Balaaa huyo yaani kwanza sijui kwa nini anacheza africa
 
Africa kuna vipaji vingi sana basi tu Chanel ya kutoka
 
Waliotamani weusi watwae kombe aibu yao, dua la kuku halimpati mwewe, anaejua anajua hakuna cha ushirikina wala nini, so endeleeni na ubaguzi na chuki zenu kwa waarabu, na wataendelea kuwa bora.

Morocco, the best team in Afrika na hata baadhi ya timu za ulaya wanaijua The Atlas, waulizeni portugal na ronaldo wenu walifanywa nini! Ufaransa hakua na mpira mzuri mbele ya morocco ila bahati iligeukia kwao.

Mkitataka tufike acheni ubaguzi na chuki.
 
Safi sana Morocco, mmenifurahisha kunipigia hao jamaa

Wabaguzi kazi mnayoo, chochote alichokikataza Mwenyezi Mungu basi usikifanye, hao hao unaowabagua na kuwachukia na wanaendelea kufanya vizuri na makombe wataendelea kuchukua, nyie endeleeni kusema walitikataa waafrika, mara oh wanabebwa mara oh wanajiangusha, mara oh fitina. Kwa mtu ambae anajua ball hawezi kufikiria hichi hata kidogo.

Ubaguzi na chuki unauwa.

Hongera sana The atlas šŸ‡²šŸ‡¦ mimi nawakubali sana.
 
Free Palestine šŸ‡µšŸ‡ø
 
Mkuu umeandika kwa hisia sana.
Anyway huwa wanasema its begin with you
 
Kuna uwezekano likabaki pale...labda zile Giants Teams za Western Africa zitukomboe🤣
Wale Waghana ndio hawajawa serious tena, walipoteza uzalendo.
Tuwategemee, Cameroon, Ivory Cost na Senegal maybe...
 
Cookie hitimisha uzi huu sasa.
Morocco šŸ‡²šŸ‡¦ ndio mabingwa wa CHAN 2024.
Asante
 
Back
Top Bottom