Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

1000265017.jpg
 
Madagascar squad iko vizuri sana.
Mbona hatusikii timu zao za club huku kimataifa?
Itakuwa suala la hela mzeya mechi za kimataifa inabidi uwe nanhela...mechi moja ya away ticket tuu na hotel 200mil....tena ombea usipelekwe angola kule luanda....expensive city.
Kuna club yao moja inaita fosa juniors ilikuwaga vizuri enzi za hamad alivuokuwa prezident wa caf.
Alivyonyofolewa naona madagascar clubs zikashindwa
 
Sasa si watu wakadake vipaji huko?
 
Back
Top Bottom