Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Sasa si watu wakadake vipaji huko?
Ah wapigaji wanapenda kuleta wachezaji wa youtube lol.
Madagascar hapo chukuwa captain wao no.4, chukua lalaina namba 8, chukua fullback right namba 21 leo hajacheza koz ya njano mbili chukuwa na auper sub no. 20 na yule mido nywele blich no. 2
 
Ile middle namba 2 naielewa sana.
Ikitua pale Msimbazi Kagoma atasugua benchi
 
Hawa ukuta wao noma sana backline imejaa vipaji. Yule no13 fullback ya kushoto ulaya inamuita. Centre back no. 2 na no 15 nao watu na nusu.
Kuna striker wao alikuwa anaingia sub no.25 mtu
Itabidi utumike kwenye recking mkuu
 
Hawa ukuta wao noma sana backline imejaa vipaji. Yule no13 fullback ya kushoto ulaya inamuita. Centre back no. 2 na no 15 nao watu na nusu.
Kuna striker wao alikuwa anaingia sub no.25 mtu
Analysis zako zinapita mule mule
 
Tujiandae na Afcon sasa huko Morocco
 
Back
Top Bottom