Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Screenshot_20250830_193047_Chrome.jpg
 
Bonge la final...aisee mpira mtamu kuliko mbususu
Kumbe tunakuwa wazinzi kwa sababu ya simba na yanga na mpira mbovu aisee hii bonge la burudani ata mbususu sitaki...nacheki boli tamuu sanaaaa.....shemeji yupo na waarabu anakuna upara wake tuu hapa
😄😄😄😄😄😄😄
 
Mara y

A mara ya mwisho hao Ivory cost na Senegal walimfunga lini ?? Naongelea hii morocco ya kuanzia kombe la dunia kuja sasa
Tukiiacha Senegal ambayo ni hp mwishoni imeanza kuisumbua Morocco ila kwa Ivory Voast wameifunga sana Morocco...ukiangalia results history utaona hilo
 
Back
Top Bottom