Na wakianza kuja na wanavyoji position unaona kabisa hii inaenda kuwa kambaMorocco wameshindikana jamani hili striker hatari sana
YaniiiiiSiku mbaya Antananarivo
Morocco wanatumia uzoefu zaidiWanashambuliwa sana.
Ngoja tuone
Hapana, Morocco, Algeria na Egypt huwa zinafungwa vizuri tu na Ivory Coast na Senegal, ndio maana walifika mbali sana na SenegalNiliwaambia Morocco sio timu ya kuomba ukutane nayo kwa sasa
Hawa jamaa wanapaswa ku compete huko Europe hapa Africa timu ya kuwapa changamoto ilikua ni South Africa senior team( Ile ya akina Mudau na Mokoena)
Madagascar hiki kikombe akichukua basi itakuwa ni kipofu kuona mwezi
A mara ya mwisho hao Ivory cost na Senegal walimfunga lini ?? Naongelea hii morocco ya kuanzia kombe la dunia kuja sasaHapana, Morocco, Algeria na Egypt huwa zinafungwa vizuri tu na Ivory Coast na Senegal, ndio maana walifika mbali sana na Senegal