Akili imewakaa sawa naona wanacheza Kwa tafadhali mnoLeo walianza na kasi kutake advantage.
Imewakost
Kweli tuliwaotea 😆😆Tuliwaotea
Anaitwa Lalaina sijuiHuyu anayecheza namba 6 kwa Madagascar ni mtu haswa
Tayari hukoJapo ni ngumu sana kushikilia bomba kwa muda mrefu
Wameanza ujinga wanakula kadiMadagascar ana foul nyingi akizi apply leo anafungwa mapema sana.
Kwa huo Moto wanatupelekewa inawabidi tuu kucheza fauloWameanza ujinga wanakula kadi