Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Dadek
Kipa alitoka.Dadek
Linarudi hilo wala usihofu!Wamepigaje pigaje hapo??
🤣🤣🤣🤣 hutaki stress sio?Tanzania tuna mpira?!
Tanzania ikicheza huwa naenda kuchoma nyama, siangalii mpira.
Halafu aliyepiga kombora anaitwa Osama!!!Kipa naye uzembe analeta
Kipa sijui alienda kufanya nini hukoKipa alitoka.
Camara mtupu
Sisi Tanzania mpira wetu haueleweki. Tz ikicheza huwa najibetia tumeshafungwa. Hivyo ikishinda sishituki na ikifungwa sishituki.🤣🤣🤣🤣 hutaki stress sio?
Ila hapa kwa Madagascar moto wameuonaMorocco wapewe tu kombe lao
Wamepata real testIla hapa kwa Madagascar moto wameuona
east africa tunapewa heshima na madagascarIla hapa kwa Madagascar moto wameuona
Goli linarudi hilo Mzee!