Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
19,101
Reaction score
31,995

πŸ”΄ CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza.

Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi Jumamosi hii, Agosti 2, 2025, yakifanyika kwa mara ya kwanza kwa ushirikiano wa nchi tatu: Tanzania, Kenya na Uganda chini ya kauli mbiu ya β€œPAMOJA”.
  • πŸ—“ Tarehe: 2 – 30 Agosti 2025 (yaliahirishwa kutoka Februari na CAF)
  • 🏟 Waandaaji: Tanzania (Dar, Zanzibar), Kenya (Nairobi), Uganda (Kampala)
  • ⚽ Mechi ya ufunguzi: Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ vs Burkina Faso πŸ‡§πŸ‡« β€” Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
  • πŸ† Fainali: Itachezwa Nairobi – Kasarani Stadium (30 Agosti)

🏟 Groups & Viwanja​


KundiNchi Zilizo kwenye KundiUwanja
AKenya, Morocco, DRC, Angola, ZambiaKasarani & Nyayo, Nairobi
BTanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso, CARBenjamin Mkapa & Amaan (Zanzibar)
CUganda, Algeria, Guinea, Niger, South AfricaMandela Stadium, Kampala
DSenegal, Sudan, Nigeria, CongoAmaan Stadium, Zanzibar

Mashindano haya ni fursa adhimu kwa Afrika Mashariki – si tu kwenye uwanja, bali pia kiuchumi, kiutalii na kiutamaduni.
Je, unadhani wenyeji watafanya vizuri? Je, Tanzania ina nafasi ya kutinga nusu fainali?
View attachment 3428350

πŸ—£ Karibu maoni yako hapa...
Nitajitahidi kutoa Updates kwa kadiri ya uwezo.

MECHI Ya Leo 30.08.2025
Final

 

Attachments

  • 1000264612.jpg
    1 MB · Views: 41
Safi sana
 
Ondoa shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…