Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kipindi cha pili.
Kimeacha.
Burkina Faso, wamefanya mabadiliko ya wachezaji watatu.
 
Dakika 46'
Taifa Stars wanapata kona
Inapigwa haizai matunda
 
48'
Kona kwa Taifa Stars.
Inapigwa inafikia kwa bacca anamwachia Job.
Anapiga golini inatolewa.
Nje
1-0
 
51'
Bukinabe wanapata kona.
Inapigwa inaakuwa goli kick.
1-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…