Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Tukumbuke tu Kwa Burkinafaso hii ni timu C ya taifa wakati kwetu ndio timu ya kupambana na akina Hakimi
 
Kagoma yuko vizuri
 
Sijaelewa.. Kwani ile ni ligi ya nje?
Mkuu sheria za mara hii, lazima uwe unacheza ligi ya kwenye nchi yako.
Mfano hata hapo Kenya, Duke hayupo kwenye haya mashindano.
Uganda, akina Aucho, Mukwala hawamo.
Sijui kama umeelewa hapo
 
VAR wanaangalia kama ni offside
 
Mkuu sheria za mara hii, lazima uwe unacheza ligi ya kwenye nchi yako.
Mfano hata hapo Kenya, Duke hayupo kwenye haya mashindano.
Uganda, akina Aucho, Mukwala hawamo.
Sijui kama umeelewa hapo
Umeeleweka vyema mkuu
 
Back
Top Bottom