Goli la wazi lile sijaona haja ya kuangalia VARRaha sana
Na leo tumewaokota kwakweliTukumbuke tu Kwa Burkinafaso hii ni timu C ya taifa wakati kwetu ndio timu ya kupambana na akina Hakimi
Muhammad HusseinNani kafunga hilo la pili jmn
Wanaweza kupigwa la tatuWanaTraore wameamka sasa.
Hawana chakupoteza 😃
Zimbwe, Mohammed HusseinNani kafunga hilo la pili jmn
Kwa kasi ya Mzize watakula wakiendelea kujaWanaweza kupigwa la tatu
🤝🤝Muhammad Huss