Ndio shida yao iliyokuwa leoHawatulii sasa
Kenya na UG wanahali mbaya sanaTanzania ni mwenyeji pekee atakayepita.
Soma tena ulichoandika 😃😃Huyu kocha, hana bahati na Taifa Stars.
Sijui tumekocha kocha
Kwa sababu amecheza vizuriWhy Feitoto Man of the Match??
Mzize ndio amecheza vizuri zaidiKwa sababu amecheza vizuri