kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Au Mzize.Man of the match angepewa mudathir yahaya
Au Mzize.Man of the match angepewa mudathir yahaya
Stars aongoze kundi ndio itakuwa habari nzuri yani afike nusu final
PunguzaTumebebwa
Game za kesho
Ndio anaongoza sasa.Stars aongoze kundi ndio itakuwa habari nzuri yani afike nusu final
Ndio wanajiandaa kuja nini, wapewe chipsi za buku jero hapo mjiniKikosi cha CHAN cha Central Africa Rep naona kipo transit Nairobi wanakula kula mikate na soda, hawa wanaonekana wadhaifu mno...
Star watawapiga hawa kama ngoma...
View attachment 3428908
Congo anakula kichwa
Ndio wanajiandaa kuja nini, wapewe chipsi za buku jero hapo mjini
Game ya saa Tisa.
Kenya Vs DRC
Nyayo Stadium
Wana ligi imara zaidi ya Kenya?Congo anakula kichwa