Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kwenye Fotmob Ukiangalia lineup kikosi cha Bukinafaso kimejaa vivuli wakati sisi asilimia kubwa wachezaji sura zipo hakuna vivuli, nimegundua wabukinabe kikosi Chao ni full amateurs, nimeona ni wawili tu system inawatambua but the rest ni kama mimi tu.
 
mkuu umewhi ona alau kwenye television au mitandaoni panapokuwa na mashindano mfano wa haya kwenye nchi za watu?
Kenya v DRC

Kenya wameahidiwa kibunda cha kutosha ila kwa Congo DR hawatoboi halafu kundi lao ni gumu sana
 
Kwenye Fotmob Ukiangalia lineup kikosi cha Bukinafaso kimejaa vivuli wakati sisi asilimia kubwa wachezaji sura zipo hakuna vivuli, nimegundua wabukinabe kikosi Chao ni full amateurs, nimeona ni wawili tu system inawatambua but the rest ni kama mimi tu.
Yaan unamaanisha wamechukua wachezaji wanaocheza Chandimu au sio?
 
Macho ya mawakala na makocha east afrika hasa Tanzania wako kuangalia game ya Kongo Leo maana cream yote iko Kenya
 
Wanazingua kinoma,wanakatakata kama kipindi cha JK kurudi nyuma.
Game ndio wanarusha Shiling hapa.
DRC wana Vibes la kutosha kabisa
 
Macho ya mawakala na makocha east afrika hasa Tanzania wako kuangalia game ya Kongo Leo maana cream yote iko Kenya
Kabisa.
Huyu Kocha wa Kenya 🇰🇪 jina kubwa sana.
Ila watapigwa.
Japo natamani Kenya washinde.
Sisi ni familia
 
Back
Top Bottom