Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hata hii labda kwasababu ya uenyeji wa Kenya.
Ila bado sana
Nipo nimepumzika kidogo vipi uwanja una mashabiki wa kutosha labda nitashawishika kutazama
 
Hawa Congo DR ndo ile Congo ambayo haina vita au?
 
Congo DR ndo yenye vita.
Congo Brazaville haina Vita ila Kinshasa ndio yenye Vita

Ruto kawawekea wachezaji kila mmoja wakishinda kila mechi kila mchezaji analipwa Million 1 za Kenya kila Mchezaji

Wakichukua Kombe anawapa 600 Million za Kenya ukiondoa ile Million 3.5 USD za ushindi
 
Back
Top Bottom