Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Hawafiki popote ila hii mechi Congo wanafungwaKenya hawafiki popote
44'
Hawafiki popote ila hii mechi Congo wanafungwaKenya hawafiki popote
Inaweza kuisha 0-0Hawafiki popote ila hii mechi Congo wanafungwa
44'
Pesa ndefu sana aiseeWamewekewa Million 1 za Kenya kila Mchezaji wakishinda kila mechi kila Mchezaji anakula 1 Million za Kenya
Wameahidiwa pesa ndefu hawa lazima wacheze kwa njaa ya magoliPesa ndefu sana aisee
Ndio mkuu, jamaa anashindwa hata kujiuliza inakuaje Ligi ya Burkina Faso inatoa wachezaji wengi sana Ulaya kuliko ligi yetu.Upo sahihi sana mkuu wabongo baadhi wana itikadi fulani za uchawi uliochanganyika na ushirikina ndio km huyo hapo, kiufupi unaweza ukamuita mwanga au mchawi
Kha! Wanakula million 20 za ktz kila mchezaji....aisee mbususu huko kenya zitakomaWamewekewa Million 1 za Kenya kila Mchezaji wakishinda kila mechi kila Mchezaji anakula 1 Million za Kenya
Duuuh! kawapa kazi kubwa sana.Congo Brazaville haina Vita ila Kinshasa ndio yenye Vita
Ruto kawawekea wachezaji kila mmoja wakishinda kila mechi kila mchezaji analipwa Million 1 za Kenya kila Mchezaji
Wakichukua Kombe anawapa 600 Million za Kenya ukiondoa ile Million 3.5 USD za ushindi
Hawa laziima washinde maanaa mbele wamewekewa fuko la pesa za kutosha Ruto kafanya kufuruUnajua kuchungulia mdau
Mpira hautabiriki kwakweli,yaleyale ya Chelsea na PSG fainali za vilabu.Sasa km hawa ndio wakali mboni Kenya wanawahenyesha hivi?
Ndio hivyo kwa hio hapo wanajituma kila wawezavyo waweze kukunja vibundaDuuuh! kawapa kazi kubwa sana.
Congo DR hii ikikutana na Tanzania nakwambia inakula Chuma 3 kavu tena 45 za kwanza bado haiendi hata half timeMpira hautabiriki kwakweli,yaleyale ya Chelsea na PSG fainali za vilabu.