Sande M
Senior Member
- Feb 6, 2017
- 122
- 95
Kwani yupo kwenye ligi ya DRC?Labda yuko bench
Kwani yupo kwenye ligi ya DRC?Labda yuko bench
Ndio VAR imempa goli Zimbwe Jr janaVAR imenyima goal.
Hayupo kwa hayupoKwani yupo kwenye ligi ya DRC?
Yes, mbona hujamuulizia Duke?Kwa nn si Yuko pyramids
Lile lilikuwa goalNdio VAR imempa goli Zimbwe Jr jana
Walisema offside kwamba Iddi Nado kaotea VAR ikatoa goalLile lilikuwa goal
Duh umenifungua. Nilidhan wachezaji leagues za afrika kote sio nje ya Africa.Kwani yupo kwenye ligi ya DRC?
1 kwa 0Ngapi huko?
Nilifikiri Kenya watakuwa na kibarua kigumu.. Ila mpira una matokeo ya kushangaza sana1 kwa 0
Hizi taarab ungekua ushanijib. Anyhow nishajibiwa tayarYes, mbona hujamuulizia Duke?