Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Sasa hivi mpira unachezewa sana kwenye goli lao.
Na inaonekana wamechoka.

Kitambala anawachapa muda sio mrefu.
Wamelegeza sijui wametosheka na goli 1 km jana stars kuna kitu siku kipenda zilipofika dakika 90' zile 7 wakawalegezea Burkina Faso mimi nilitaka wakaze hata zile 7 wapige chuma kingine cha 3
 
Wangeongeza umaster kwenye game zijazo.
Ila kundi B ni mchekea sana
 
57'
Kuna mchezaji yuko chini anahitaji medical attention.
Game inesimama kidogo
1-0
 
Back
Top Bottom