Kenya bado sub 2Ndio wamemaliza sub zote sasa.
WashamtoaMatobo anapaisha tu
Kachomoa ile shutiOmondi kipa wa Kenya amejitahidi hapa mwishoni
Hapa gundu ndipo linapoanzia hata robo hatufikiItakuwa nzuri sana
Na pia tutakuwa tumempa zawadi nzuri ya ushindi Rais wa jamhuri ya muungano mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan
Congo wataenda kuongezwa la 2 km utaniWashamtoa
Kasongo yupo uwanjaniDalili zinaonyesha mpira unabadilika .
Anything can happen.
Kasongo yupo hapo na Motsepe
Hahaha alikua anazitoa wapiNa jezi yake hapo, anawaangalia GenZ leo wanamsapoti 😃😃
Ila michuano ikiisha watamuuliza hizo 11b alikuwa azitoe wapi!!