Hivi yule anaitwa Mokonzi au Makonzi?86'
DRC wanapata free kick nje kidogo ya 18
1-0
Mpira umeisha Congo wamekaaBamtu ba Congo bamechoka na kukataa tamaa
Hatari sanaCongo wamekua Weupe
Kongo hata umisetta bado wangekosa hawana kabisa akili ya mpiraKabisa.
Huyu Kocha wa Kenya 🇰🇪 jina kubwa sana.
Ila watapigwa.
Japo natamani Kenya washinde.
Sisi ni familia
Nusu tunaingia hapa ni kupambana lazima mama apewe heshima anayostahiliHapa gundu ndipo linapoanzia hata robo hatufiki
Hawana timu haoHawa Wakongo tu watatupa upinzani mkali