Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Tuwaone Angola vs Morocco
 
Nimeona mchezaji wa Angola anaitwa Mafuta
1000221526.jpg
 
Kikosi Cha Morocco kinachoanza.
1000221525.jpg
 
Game itakuwa nzuri hii
 
Naona kama Viwanja vya Kenya ni vizuri zaidi aisee
 
Sema huu uwaanja wa Nyayo umetulia Nyasi mtelezo
 
Mafuta nimemwona pia 😃😃😃
 
Back
Top Bottom