Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Imebaki kidogo tu Angola wasawazishe
 
55'
Angola wanapoteza nafasi ya wazi kabisa kusawazisha
1-0
 
60'
Angola wanajitahidi kufanya mashambulizi kwenye lango la Morocco.
Mambo hayawi mazuri.
1-0
 
66'
Timu zote zinafanya mabadiliko
1-0
 
Super sub Morocco
 
Goooooooal
Morocco wapata goli la 2
 
Kundi ngumu sana hili
 
Morocco wanaweza pata na la 3 Angola wakiendelea kuzembea
 
Back
Top Bottom