Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Mashabiki wa Dar hawana mzuka kabisa.
Michuano hata wailete na mikoani maana ndio mitoko yetu hiyo
 
Daaah...
Offside
 
FT
Madagascar 0 - 0 Mauritania
 
1000221843.jpg
 
Jamani mmemuona yule mrembo white kweny bench la congo democratic...aisee ni pisi kali
 
Ili uzi uwe na nguvu, wekeni updates za matokeo na ratiba ya mechi zinazofuata kwenye bandiko la kwanza la uzi huu.
 
Back
Top Bottom