Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hawa kina Camara wanaupiga haswa
 
Water break.
Ila kuna mchezaji wa Guinea yuko chini.
 
Kuna kapiga nikupuge hapa.
Kipa wa Niger alishauzwa aisee.
Balaa
 
Kona mbili mfululizo kwa Niger.
Wamezi clear
 
Mwamba wamempiga sirini aisee
 
Back
Top Bottom