Wanakaba sanaWamorroco wananidhamu sana ya mchezo
Mechi kama hizi inabidi iwe fungulia mbwaHizo nchi sasa.
Madagascar vs Mauritania
Kabisa Morocco sio wachovuHili kundi Gumu sana
Ubaya kundi letu lina timu mbaya zisizo hata na hamasa ya kutazama boliHizo timu ziko na uchumi usioruhusu wananchi wake kufurahi
Sio msimu huu tu mkuu ni misimu yote toka imeanza 2009 CHAN ni michuano ya wachezaji wa ligi za ndani ya nchi husika yaani local league players!Nafikiri msimu huu ni kwa wachezaji wa ligi za ndani ya nchi husika tu.
Ni nzuri pia