Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Waarabu wanajua kuigiza sana
 
Yellow kwa Angola.
 
24'
Morocco wanapata Free Kick.
Inapigwa inapokelewa na header.
Kipa anadaka
0-0
 
Bonge la save kutoka kwa kipa
 
27'
Morocco wanapata kona, inapigwa haileti majibu mazuri
0-0
 
Mbona kama alikuwa ameotea?
 
Angola wanashambuliwa sana
 
32'
Morocco wanapata kona mfululizo hapa
 
Morocco wagumu sana kufungika.

Dakika 36
0
1-0
 
40'
Mpira umesimama kidogo kuna mchezaji wa Morocco yuko chini
1-0
 
HT
Morocco 1 - 0 Angola
 
2nd Half
Kimeanza sasa
1-0
 
Angola wamerudi kipindi cha pili na nguvu yakutosha kabisa
 
Back
Top Bottom