Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

79'
Kenya wanafanya mabadiliko ya Wachezaji watatu.
 
80'
Yellow kadi kwa Kenya.
Obstruction imefanyika kwa goli kipa, kumzuia asigawe mpira haraka
 
Sakari, miguu haina nguvu
 
Japokuwa ni offside lakini kapiga nje 😃😃😃
 
84'
Kenya wanaruhusu kona zakujirudia
1-0
 
86'
DRC wanapata free kick nje kidogo ya 18
1-0
 
Back
Top Bottom