Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kenya wameamua kukaa kulinda sasa.
Hawaendi mbele tena.

Mashabiki ndio wanavibe sana
 
DRC wamekuja kwa wingi sana Kasarani.
 
66'
Kenya wanafanya mabadiliko kwa Wachezaji 2.
Kuna mkongo yuko chini akipatiwa matibabu
 
Back
Top Bottom