Daah sikutegemea kama hali itakua hivi.Congo DR hii ikikutana na Tanzania nakwambia inakula Chuma 3 kavu tena 45 za kwanza bado haiendi hata half time
Kwanini mkuu? Huamini?Daah sikutegemea kama hali itakua hivi.
Lile goli la kukataliwa limewatoa kwenye mchezoMwe banacongo walianza moto sasa wanapumulia mashine
Mayele yupi?Wakuu Mayele Yuko bench ama kashasajiliwa uarabuni?
Kukataliwa wapi?Lile goli la kukataliwa limewatia kwenye mchezo
Goli lao la mapema lile refa akaamua fauloKukataliwa wapi?
Kipindi cha pili wanakaa tenaMwe banacongo walianza moto sasa wanapumulia mashine
FistonMayele yupi?
Haya bana so niweke laki yanguKipindi cha pili wanakaa tena
Nimeona halafu walishangiliaGoli lao la mapema lile refa akaamua faulo
😀😀😀 CHAN haimuhusu.Wakuu Mayele Yuko bench ama kashasajiliwa uarabuni?
Labda yuko benchFiston
VAR imenyima goal.Nimeona halafu walishangilia
Kwa nn si Yuko pyramids😀😀😀 CHAN haimuhusu.
Weka Million kipindi cha pili Kenya wanaongeza goliHaya bana so niweke laki yangu